ilianza hivi,siku moja kabla ya tukio. |
katika maandalizi zaidi |
ni jumapili asubuhi,album ikiwekwa wakfu...Pastor Chambo na Mic,Pastor Ezekiel akionyesha kwa kanisa |
CASFETA kwa pamoja,wakimshukuru MUNGU |
Wakajipanga kwa tukio "baby yellow" |
wakajiunga na wakaka |
IJA nao walikuwepo |
"Uwezo" wkaiingia sasa |
Hossana Band |
mgeni rasmi akizindua |
msifu BWANA!!!!!!!!! |
halleluya!!!!!! |
MC katika ubora wake akimhoji madam Kika |
katika ubora wao |
Bondeni group wakiongozwa na Baba Benja |
kila mtu na copy yake |
Myenyekiti wa kwaya akiweka sadaka ya shukrani |
Ni jumapili ya tarehe 8 mwezi wa 6 2014,siku ambayo ilisubiliwa kwa shauku kubwa na wanakwaya wa NEW JERUSALEM CHOIR..Katika ubora wao ilikuwa nzuri sana usikose nakala yako bado zinapatikana.Kwa mawasiliano zaidi 0755634144,0769781143
No comments:
Post a Comment