Haleluhya!,
Sijui kama utapata neema yakuelewa kwa undani maana ya hapo juu.Simaanishi
muonekano wa grammer au tense bali kile kilichoujaza moyo wangu juu ya New
jerusalem choir kikanipelekea kuwaza hivyo.
Kwa
ufupi zaidi ili kukomboa muda wako, mchakato ulikuwa mrefu sana, tangu
maandalizi ya recording yaanze mwaka jana kwa kujitoa kwa hali ya juu, ila
Mungu amekuwa Ebeneza kwetu.Yes, hakuna mafanikio yanayokuja kirahisi (hususani
ya kiroho) bila kuingia gharama ndicho nilichojifunza.
- Gharama ya maombi
- Grarama ya Muda (Time cost)
- Gharama ya Akili
- Garama ya mali
- Na nyinginezo
“Thamani ya wokovu ni kubwa sana”.Unajua
hadi leo hii tunaufurahiya wokovu wapo ambao walitoa gharama kubwa sana
kuhakikisha injili inatufikia,! tukianza na YESU mwenyewe ambaye aliacha enzi
na utukufu, akashuka duniani, akateswa, akadharaulika ili sisi tupate wokovu
(Wafilipi 2:3-8).Hapa napata kujifunza kitu pia kuhusiana na gharama
yakufanikisha jambo flani that’s why we say "the higher the cost, the
higher the value".Hii ina reflect direct mchakato wetu wa Recording.
All in all tunamtukuza Mungu kwa kuwa
kwaya yetu inajiandaa kuweka wakfu album mpya, yakwanza, iitwayo MAOMBI,
- Tar 08/06/2014
- Eneo; Ukumbi wa kanisa la PAG Magamba
- Muda; Kuanzia saa 8:30 mch-12:00 jioni
- Kwaya mbalimbali zitakuwepo (Bethel Gospel choir, Sekomu-Salvation choir)
- Revival Band, Hossana Band
- Casfeta SEKOMU Praise and worship Team kwa pamoja tutamtukuza Mungu siku hiyo
Alafu
ni yakwanza hii, siyo ya kukosa kabisa, Karibu sana, mkaribishe na rafiki
yako
HAKUNA KIINGILIO
Niishie
hapa kwa leo tukutane Tar 08 jumapili., Barikiwaaaa
Brthr. SHIJA, festo
0716 916244, Email; festojs@gmail.com
0716 916244, Email; festojs@gmail.com
No comments:
Post a Comment