Saturday, January 26, 2013

MKESHA CHUO CHA IJA,LUSHOTO MJINI


 Mtumishi wa MUNGU, MAFURU SONJOKASI kutoka chuo cha SEKOMU akifungua ibada hyo ya mkesha kwa maombi
 Watu wakifuatilia kwa makiiiini sana..
 Anaitwaa..,MWL.NTEMI Ambaye pia ni  mwalimu mlezi wa CASFETA IJA akirekebisha music sound
 yap..,praise team  sasa,,pooolepole
 praise...
 Aaame,ameee!!!!!!!
Ni kusifu tuu
 Mtumishi KENEDY MUHOZA kutoka chuo cha  SEKOMU katika neno la ufunguzi


 uwepo wa MUNGU ukitembea...
 Jina la YESU likifanya kazi....

 Madam ARIS, Akimwadhimisha Bwana
Bendi hii ni  Miongoni mwa waimbaji waliokuwepo usiku huo...kijana BENEDICT

 Mheshimiwa Hakimu mkazi wilaya ya LUSHOTO,,,Akimtukuza MUNGU kupitia uimbaji
ni miongoni mwa waimbaji waliokuwepo
 Shuka chini.....chini tena!!!!! My GOD IS GOODOOOOOOOO
 kijana HANS  kwenye piano pale,kitu PSRs....., hapo cord zimelala

Worship ikiendelea taratiiiiibu wakati wa maombezi




MC JAPHET  MAFIE ...,Alicontrol vizur sana ibada ya mkesha.

No comments:

Post a Comment