Zaburi 1:1,Daudi anaanza kwa kusema heri mtu yule asikwenda katka shauri la watu wasio na haki,...................................wala hakuketi barazani pa wenye mizaha...
Kumbe watu tunaoishi nao wanaweza wakasababisha "tumkose MUNGU" kama Yusuph alivyosema.Yesu akasema "si ombi kwamba niwatoe katika dunia hii" bado tutaendelea kuwepo na kuishi na watu wasiomjua MUNGU,ila kumbuka kuishi nao kwa akili..
Kuna usemi ambao umushika chat kwenye mind zetu with a friend of mine Festo unaosemwa "SHOW ME YOUR FRIEND,I WILL SHOW YOUR FUTURE" (ulioendelezwa na rafik Flavian)
#JILINDE NA VITU,WATU NA MAZINGIRA ILI KULINDA UTUKUFU WA MUNGU#
says!!!!1
Kaizer Xavier Msosa
No comments:
Post a Comment