Monday, July 29, 2013

WE ARE SAVED TO SERVE

Casfeta Sekomu wanatajia kufanya mkutano wa nje,semina na outreach katika kijiji cha Kwemakame wilayani Lushoto mkoa wa Tanga..Kama agizo kuu la Bwana Yesu,kuihubiri injili kwa kila kiumbe  mkutano huo utaanza siku ya ijumaa tarehe 2 mwezi wa 8 hadi siku ya jumanne tarehe 6,,,,,,maombi yako ni muhimu sana katika kuujenga mwili wa kristo.......

#General Secretary Casfeta#

No comments:

Post a Comment