|
baadhi ya wana CASFETA wakiwa nje ya jengo la ibada kijiji cha Malindi-Lushoto Tanga katika outreach |
Baada ya kutumika kwa miaka mitatu 2010-2013,wana CASFETA wa mwki tara wa tatu watakuwa wanamshukuru MUNGU siku ya jumamosi tar. 06 Jully katika mahafali itakayofanyika chuoni SEKOMU campus B.....MUNGU AWE PAMOJA NANYI WAHITIMU
No comments:
Post a Comment