Tar 02.02.2013 SEKOMU casfeta walifanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wapya kwa mwaka 2013/2014 ,,Ambapo mwenyekiti aliyechaguliwa ni MR.FLAVIANI (wakwanza kushoto),Makamu wake ni Madam KIKA,Katibu - KAIZER MSOSA na Kulia apo ni DADA JOYCE LUKANDA ambaye ni mhasibu wa tawi hilo
idara ya wakaka Mr.SABUYE,wadada ni DADA JOYCE WILSON
Mr. JEREMIAH kwenye maombi pamoja na Mr.ASHELY
No comments:
Post a Comment