Utangulizi
“Heri
wewe Simoni Barayona kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili,bali Baba
yangu aliye mbinguni.Nami nakuambia,Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu
nitalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu halitalishinda”
§ Mika
4:1-2
Nabii
Mika akitumiwa na Mungu anaonyesha ahadi ya Mungu kwa kanisa la siku za mwish,Akithibitisha
kile ambacho Nabii Isaya alikisema katika sura ya 2:1-3 ya kitabu chake.Biblia
iliyotafsriwa na “New international
Version” inaandika “ In the last days the mountain of the LORD’S temple will be
established……………” Akimaanisha siku za mwisho katika mlima wa Bwana hekalu la
Bwana litaanzishwa.
§ Ezekieli
17:22
Nabii
Ezekieli nae anaonesha ahadi ya Mungu kusimamisha mwerezi katika kilele cha
mlima ulioinuka sana,akimaanisha msingi wa kanisa kusimamishwshwa na kushushwa
kwa falme za kidunia.
§ Hosea
3:10
Barua
ya Paulo kwa kanisa la Efeso akilionesha dhamira (lengo) ya Mungu kwa kanisa
kuwa kupitia kanisa hekima ya Mungu ijulikane na falme na mamlaka katika
ulimwengu wa roho.
ITAENDELEA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
By Kaizer Xavier
Msosa-0716047700,0759302486
No comments:
Post a Comment