MAANDALIZI YAKIANZA KANISANI |
DADA HAPPY,JULIETH,ELIAKIM, NA MAFIE wakitest microphone zao tayari kwa kuanza mazoez
(Wa nne walio simama) DR.ZAKAYO mbeba maono wa ibada hyo (eagt),MR.JOHN(fpct) MR...from eagt na kija Eliakimu kutoka chuo cha usimamizi wa mahakama(IJA)
Worship ya kufungua ibada
Tuning ya sauti kidogo....
Mwalimu akitoa maelekezo ya mlolongo mzima wa mazoez utakavyokuwa.aitwa Festo SHIJA
Team ikifuatilia maelekezo....
Prof .JAPHET mafie,(from chuo sekomu) akianza sasa ...
enheeeee
Dada EMMILIANA From SEKOMU
MAMA DANY....
Festo nae....
RESTITUTA,EMMY,HAPPY,JULIETH na MAMA DANY wakipaza sauti zaooooo
MR.ZAKAYO na wenzie upande wa sauti ya pili
anaitwa BEN JONATHANI,,abalikiwe sna kijana maana siku hyo alifanya kaz kubwa sna kwenye upande wa mapiano ,
safi.....
KAIZER na mwenzie wakijaza sauti ya tatu
DAUDI,,Usifiwe bwana aaaaaa aleluyaaaa!!!!!!!!!
haleluuuuuuyaaa
machord..
ELIAKIM ......"ebenezer
Worship na KAIZER
Mkesha ulikuwa wa baraka sana jaman,,,,MAMA nae hakukosa mpaka alfajiri
MAMA MCH.SHETULI kwenye worship
Mr.JOHN Akienda na "tunataka uwepo wako bwaaaaanaaaa!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment