KARIBU 2013
Tukiwa bado na furaha ya kuingia mwaka 2013 huku kila mmoja wetu akiwa amebeba matarajio mbalimbali,tunawakaribisha tena katika blog yetu kwa habari mbalimbali,picha na matukio ya huduma zetu.Kwa ushirikiano wetu kwa pamoja tutaweza ipeleka injili ya YESU mbele zaidi.
No comments:
Post a Comment