Thursday, January 17, 2013

CASFETA SERVICE 20th JAN 2013

Jumaplili ya tarehe 20 mwezi huu wa kwanza,CASFETA Sekomu watakuwa wanahudumu katika kanisa la PAG-MAGAMBA.Katika ibada hiyo kuanzia shule ya jumapili (sunday school) na kuenndelea.Ombi letu kwa MUNGU aonekane katika ibada hiyo,(Nimewaandikia vijana kwa kuwa mna nguvu........)

Kwa CASFETA,tunaomba ushirikiano wote kwa pamoja,ushirikiano wa kujitoa katika maandalizi ya ibada hiyo kama vile maombi,kwaya,praise na ratiba nyingine...Blog itakuwa hewani kurusha matukio baada ya Ibada....

No comments:

Post a Comment