Tuesday, December 18, 2012

WISHING YOU HAPPY HOLIDAY



Tunawatakia heri ya likizo fupi ya sikukukuu ya Christmass na Mwaka mpya 2013.Kwa wale watakaosafiri safari njema kwa watakaobaki MUNGU awe nanyi pia,blog itakuwa hewani kuwapa matukio yanayoendelea.Tukutane tena mwakani kwa matukio na picha mbalimbali za CASFETA SEKOMU..Asante kwa ushirikiano wako,zaidi tuzidi kuiombea huduma hii..


No comments:

Post a Comment