Saturday, February 1, 2014

ZA KUAGANA

JAMANI HIZI NI SALAMU ZA KUAGANA AGANA
   Nakutakia kazi njema wewe utakayeshika nafasi ya kiongozi wa uinjilisti CASFETA SEKOMU. Kumbuka hautaweza kwa nguvu zako bali kwa msaada wa Mungu. Mshirikishe Mungu katika kila jambo naye atakuonekania....
hautazipenda hizi?




  mzawa wa injili

No comments:

Post a Comment