Friday, November 30, 2012

IBADA YA MKESHA KANISA DOGO- MSHELEMULE

LEO SAA NNE USIKU KUTAKUWA NA IBADA KUBWA YA MKESHA AMBAPO TUTAMSIFU MUNGU WETU, KUMWABUDU NA KUJINYENYEKESAH MBELE YAKE KWA NJIA YA MAOMBI NA SHUKURANI. Ezra 8:20.
Karibuni wote tuutafute use wa BWANA KWAAJILI YETU NA WATOTO WETU NA Mali zetu, maana WATAKATIFU wa BWANA wakijinyenyekesha mbele za BWANA na KUOMBA na KUUTAFUTA USO WA BWANA KWA MOIYO YAO YOTE ATAIPONYA NCHI YAO, Hivyo Mpendwa NJOO TUOMBE KWA AJILI YA TAIFA LETU PIA. 2Nyakati 7:14

4 comments: