BWANA YESU KRISTO Asifiwe!
Huu ni mpango ambao MUNGU ameufunua kwa watumishi wake kuhusu vijana WALIOOKOKA utakao itwa CHRISTIAN YOUTH EXPERIENCE IN OPEN WORLD, ambapo kupitia Mafundisho, Mijadara, Seminar, na Maombi MUNGU atawaongoza VIJANA WALOOKOKA kufanyika BARAKA katika KANISA na TAIFA, jiandae kupokea upako mpya kwa MAISHA mapya, Ili Ulimwengu usije ukalibadili lile KUSUDI LA KUOKOLEWA kwetuFilipi 3:20. Ubarikiwe na BWANA YESU.
Tuinuke maana shughuli hii inatuhusu sisi
ReplyDelete