baadhi ya viongozi wakiwa mbele ya kanisa la PAG MAGAMBA tayari kwa kuwekwa wakfu.
CASFETA SEKOMU,ilifanya uchaguzi wake wa viongozi mwishoni mwa mwezi wa pili na viongozi wapya walianza rasmi kazi iyo mnamo mwezi wa 4 mwanzoni.Tunawatakia kazi njema na Mungu awatangulie.......
RIZICK MWASHAMBWA-MWENYEKITI
IRENE ROCKIE-M/M KITI
ERICK NYABENDA-KATIBU
DICKSON ZABRON-KATIBU MSAIDIZI
GLORY BWAKEA-MHASIBU
No comments:
Post a Comment