THE BEST OF SEKOMU-NEW JC,Coming sooon!
NEW JERUSALEM CHOIR
The first Album
SEKOMU-NEW JERUSALEM CHOIR tunamshuku Mungu kwa kutusaidia katika kila hatua tuiendeayo.Album yetu yenye nyimbo 8 imefikia pazuri sasa.
- Mwishoni mwa December 2013 - Tukafanya Recording
- January 2014 - Tukasikiliza CD kwa mara ya kwanza
Jana february 22 walimu tulikuwa studio kwa ajili ya editing, Mungu ametupa neema tumefanikisha tayari zoez hili,soon master CD itatoka uku mambo mengine yakimaliziwa taratibu kwa kipindi hiki. Therefore New JC tujiandae kwa kuiweka wakfu rasmi april tukifungua chuo. Glory to God!
Baraka zetuuu!!!..............
Stay blessed much
No comments:
Post a Comment