baadhi ya wana CASFETA katika ibada ya joint,mwez Desemba 2013 SEKOMU. |
baadhi ya wana CASFETA wakiwa katika outreach mwez Nov 2013 katika kijiji cha Kwemakame. |
Shalom,ratiba yetu wekend hii,ni kama ifuatavyo.Jumapili ni CASFETA service katika kanisa la P.A.G Magamba,then mchana ni tamasha la kusifu na kuabudu lililondaliwa na CASFETA wilaya ya Lushoto na litafanyika katika kanisa la FPCT KUANZIA SAA 8 Mchana.USIKOSE.
No comments:
Post a Comment