2013 imeisha,few moment to time,2014 inaingia.Kila mtu atasema ana mipango mingi ya kufanya kwa mwaka 2014 ila sidhani kama kila mtu ana package ya kumwexesha kufikia malengo yake.Kabla Suleiman ajajenga hekalu ilimbidi Daudi baba wa Suleiman aandae vitendea kazi ili vimsapport katika kazi aliyoitarajia kufanya.Hata maisha yetu ya kiroho pia yanaitaji package ya kutosha kutuwezesha kushinda majaribu katika mwaka ujao kwa kuwa hayana budi kuja.Kwa muda huu mdogo uliobaki kabla ya kufikia 2014 unaweza ukapata muda ya juongeza package yako kwa maombi,tena kwa kuwa maombi ni uumbaji unaweza ukaomba yale ambayo unataka yatokee kwako mwaka 2014.Ni ukweli kuwa jaribu au changamoto yoyote ikikukuta mwaka 2014 kama utakuwa hauna package yoyote sio siri ni lazima utaanguka na kutangaza kuwa MUNGU hayupo.MUNGU akusaidie uweze kuchukua.......
One step ahead..........
No comments:
Post a Comment