Wednesday, May 29, 2013

PRAISE AND WORSHIP CONCERT 2nd JUNE 2013

                                            LUSHOTO CASFETA TAYOMI
Wanakuletea ibada ya kusifu na kuabudu itakayofanyika siku ya jumapili tarehe 2 mwezi wa sita (6),katika kanisa la FPCT Lushoto mjini.Muda ni kuanzia saa 8:30 mchana hadi saa 11:45.
Waimbaji mbalimbali watakuwepo kama vile Ebenezer Choir-FPCT LUSHOTO,EAGT CHOIR,KLPT CHOIR,NEW JERUSALEM CHOIR,MOPHAT MWANJALA,na wengine wengi.

Usipange kukosa........................

No comments:

Post a Comment