Friday, April 5, 2013

NEW SEMESTER AND NEW HOPE

Tunamshukuru MUNGU kwa upendo wake mkuu aliouonesha kwetu katika semester ya wanza.Kama CASFETA tumemuona MUNGU akitupigania katika mambo mbalimbali hasa masomo yetu kwani tumefanya vizuri hivyo kupata nafasi ya kuendelea     na masomo.
Ni imani yetu kuwa semester hii tutafanya vizuri pia,kwa msaada wa MUNGU tunashinda yote

No comments:

Post a Comment