Thursday, April 11, 2013

KAZI IMEANZA

Kwa mara ya kwanza tokea tuanze semester mpya CASFETA tutakuwa na mkesha leo Ijumaa tarehe 12,tukimshukuru MUNGU na kuhitaj nguvu zake zaid katika semester mpya iliyoanza.Usipange kukosa maana ni vizuri kuanza na BWANA.

No comments:

Post a Comment