Halleluya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tunamshukuru Mungu kwa ulinzi wake mkuu kwetu katika muhula huu wa kwanza wa masomo.Wiki moja imebakia kabla hatujaanza mitihani ya kumaliza muhula kuanzia tar 11 Feb hadi 22 Feb.Tunamwamini Mungu tunaemtumikia huku tukisoma kwa bidii kuwa hatatuacha yatima kama ilivyo ahadi yake kwetu.
Tunakaataa roho za magonjwa,taarifa mbaya na hali yoyote itayo tutoa katika umakini wa maandalizi ya mtihani.Ombi letu kwa Mungu ni kuwa vichwa na si mikia
WISH YOU ALL THE BEST
No comments:
Post a Comment