Saturday, January 26, 2013

OUTREACH SONI 27th JAN 2013

CASFETA SEKOMU wanatakuwa eneo la Soni siku ya kesho Jumapili katika ibada itakayoonozwa na wana Casfeta hao katika kanisa la FPCT.

Kwa wana CASFETA tunaomba ushirika wenu katika maandalizi  ya ibada hiyo.Blog itakuwa hewani kukupa matukio ya ibada hiyo.
 


No comments:

Post a Comment