Sunday, December 2, 2012

WATAKUWEPO TENA JUMAMOSI HII

Ndoto zao za kuwa SEKOMU zamani SEKUCO,zitatimia jumamosi hii ya tar 08 Dec pale watakapo tunukiwa shahada zao za fani mbalimbali...Hakika alipo BWANA yote yanawezakana..

No comments:

Post a Comment