Saturday, December 8, 2012

WAPENDWA WAKIWA KWENYE MATUKIO ZAIDI

Mtumishi wa MUNGU,Maige akiwa na Dk Pulluru(Sheria) kushoto na Prof Ziggler

Madam Honorata,Mama Lisa,Da Ney na Madam Anna Lekule wakifuraiya majohooooo

Chair nae kumbe yumooooo.....!!!!!.Mr Kennedy (Mwenyekiti mstaafu wa casfeta Mkoa wa Tanga)

Bloggers na Mtumishi MUNGU mjasiriamali (Godlove Mushi) wakibadilishana mawazo kidogo

No comments:

Post a Comment