Thursday, December 13, 2012

NEXT SUNDAY........

Haleluyaaaa......!!!!
Nawasalimu wote kupitia jina pekee la YESU kristo aliye hai!!,kama tunavyofahamu  lakini pia kuthibitishwa na mwenyekiti wetu kuwa next sunday wana CASFETA tutaongoza ibada nzima pale kanisani PAG Magamba.kikubwa zaidi ni MUNGU mwenyewe aonekane akikutana na haja ya kila mmoja siku hiyo,so kama walinzi niwajibu wetu kuendelea kuiombea ibada hiyo kwa mzigo sana.

Pia praise team wanakumbushwa kuendelea kujipanga sawasawa  pande zooote.mbarikiwe nawatakia maandalizi yenye baraka 
 praise leader.

No comments:

Post a Comment