Friday, December 7, 2012

NAM....,ikiwa ni tar 7 Dec 2012 siku ya ijumaa, eneo la Magamba  wilaya lushoto Mkoani TANGA,atmosphere imebadilika na kuwa ya furaha zaidi kutokana na wahitimu(third year) watumishi wa MUNGU aliye hai  kuwasili tayar kwa mahafari itakayofanyika Kesho juma mosi kwenye ukumbi mpya CAMPUS A

Mapaka sasa watumishi wa MUNGU walioonekana ni mwenyekiti mstaafu,, HONORATA MWINUKE,Ev.LUBEN MAIGE,HOSSIANA MBWAGA,Mapacha HAPPY &NEEMA TANDIKO,Mwl.GILBERT SALUMU(baba mheshimiwa),dada ANTERMA,na wengine ambao uwepo wao unasikikasikika....tutaendelea kuwajulisha zaidi yanayojiri na yatakayojiri.

       Barikiwa sana, usikose kwenye mazoezi ya kwaya saa 2 na baada ya hapo MKESHA kuanzia saa 4 usiku kwenye kanisa dogo la mshelemle


No comments:

Post a Comment